Anadivision four yapoint 29,nimempeleke wapi?

hengo

JF-Expert Member
Joined
Jun 6, 2011
Posts
402
Reaction score
50
Wakuu kun mdogo wangu anadivision four ya poimt 29, amejaribu kulisiti akafeli.Sasa naomba ushauri nimpeleke kozi gani itakoyo mtoa mapema?
 
Ana pass ngapi? Kama ana pass angalau 3 anaweza kusoma certificate course shule zilizo chini ya NACTE yaani Mwalimu Nyerere, CBE, Ustawi wa Jamii, Tanzania Institute of Accounts na vinginevyo.

Si mbaya pia ukachek na baba mwanaasha maana wa kwake naye alipiga hizo hizo huenda akakushauri vizuri wapi kwa kumpeleka huyo wa kwako pia! Kama huna number yake just let me know nikupe!
 
Wakuu kun mdogo wangu anadivision four ya poimt 29, amejaribu kulisiti akafeli.Sasa naomba ushauri nimpeleke kozi gani itakoyo mtoa mapema?

mtafutie certificate in community devlpmnt-ktk vyuo vya maendeleo ya jamii Hombolo, Lungemba etc. Record mngmnt -public service college na tabora uhaziri.
 
Wakuu kun mdogo wangu anadivision four ya poimt 29, amejaribu kulisiti akafeli.Sasa naomba ushauri nimpeleke kozi gani itakoyo mtoa mapema?

Ingekuwa vizuri pia kama ungeweka ufaulu wake wa hayo masomo, pili muulize aina ya course anazopenda lingaisha na ufaulu wake then tembelea vyuo kama CBE, chuo cha ustawi wa jamii ujue kama kuna couse ambazo zinapokea wa ufaulu huo. ukiona bado ni shida tinga chuo cha utumishi wa umma magogoni umchukulie form kwa course inayoanza mwezi wa saba ili ajiunge na cheti cha utunzaji wa kumbukumbu kwa ufaulu huo hapo hakuna kipingamizi.
 
Njoo nae Kwangu tuongee nae, tutajua kinachomfaa baada ya halo. Nimegundua ana jitihada Lkn hana mjuvi Wa ushauri Wa mwelekeo Wa maisha
 
mkuu.....mi nakushauli mpele chuo cha civil aviation.......cha airport dar es salaam....pale wanatoa kozi zifuatazo
1.flight operations
2.air hostel
3.air traffic control
4.aircaft engineering
5.pilot training
mimi nina ndugu yangu wa alisomaga air hostels na sasa ameajiliwa precision air na analipwa millioni 1 na laki tatu na
alipataga division 4 ya 30......
 
asanteni wote kwa ushauri mzuri
 
Civics d.kiswhl d.history f,math f.bios d,chemistry c.phys f,
 
Naona umepata ushirikiano wa kutosha, kwa ajira ya haraka sana kama ni mwanaume mpeleke Dar es salaam Maritine Institute (DMI), ajira ni za kufikia akimaliza.
 
Ana pass ngapi? Kama ana pass angalau 3 anaweza kusoma certificate course shule zilizo chini ya NACTE yaani Mwalimu Nyerere, CBE, Ustawi wa Jamii, Tanzania Institute of Accounts na vinginevyo.

Unamaanisha D angalau 3?
 
mkuu.....mi nakushauli mpele chuo cha civil aviation.......cha airport dar es salaam....pale wanatoa kozi zifuatazo
1.flight operations
2.air hostel
3.air traffic control
4.aircaft engineering
5.pilot training
mimi nina ndugu yangu wa alisomaga air hostels na sasa ameajiliwa precision air na analipwa millioni 1 na laki tatu na
alipataga division 4 ya 30......

samahani kwa usumbufu tena, ada yao bei gani? Na je wana hostel hapo?
 
muozeshe tu ule mahari tukaweke heshima bar
 
mkuu.....mi nakushauli mpele chuo cha civil aviation.......cha airport dar es salaam....pale wanatoa kozi zifuatazo
1.flight operations
2.air hostel
3.air traffic control
4.aircaft engineering
5.pilot training
mimi nina ndugu yangu wa alisomaga air hostels na sasa ameajiliwa precision air na analipwa millioni 1 na laki tatu na
alipataga division 4 ya 30......

Hellow.. Plz naomba namba yako ya simu,nitumie kwenye 0787638644. Tuongee.
 
Back
Top Bottom