anae jua NYERERE(MWANGA) high school ipo mkoa gani?

Ulikuwa inaitwa lembeni sec.school,ipo wilaya ya mwanga,mkoa wa kilimanjaro,ukitotoka dar-mosh,unamwambia konda ukashushe lembeni,shule ipo njiani.
 
NYERERE haipo Moshi ipo Mkoa wa Kilimanjaro wilaya ya Mwanga .

Wilaya ya mwanga na Moshi n wilaya mbili tofauti lakini zote zipo mkoa wa kilimanjaro mmeelewa vijana?
 
mkuu kama hautajali na kama unaweza kuwa unajua wapi shule ya sekondari Mwika iliko nitashukuru kupata muongozo wako!

mwika ipo wilaya ya moshi vijijini km 36 kutoka Moshi mjini nauli sh.2000 kutokea mjini Shule ipo karibu na Chuo kikuu cha Smmuco cumpus ya mwika. Ni shule nzuri! Shule jirani itakua Ashira pamoja na marangu high
 
nah umbwe ipo wapi wakuu

ipo mkoa wa kilimanjaro wilaya ya moshi vijijini tarafa ya Kibosho kata ya Umbwe kijiji cha Okaoni Km 21 kutoka Moshi mjini Head Master anaitwa Mr lymo. Shule jiran ni Mlama high pamoja na Lyamungo.
Kuna kitu inaitwa kilimanjaro deby ni LYAMUNGO V/S UMBWE. Hapo ni ful vurugu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…