Erick tryphone
JF-Expert Member
- May 8, 2013
- 387
- 84
Msaada kwa anae ijua nyerere high school anijuze kua ipo mkoa gani?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Moshi ndo ipo
moshi mjini au kijijini?
moshi mjini au kijijini?
shule za mjini ni kama lyamungo,ashira, moshi tech, moshi sec,
shule za mjini ni kama lyamungo,ashira, moshi tech, moshi sec,
moshi mjini au kijijini?
Moshi ndo ipo
shule za mjini ni kama lyamungo,ashira, moshi tech, moshi sec,
mkuu kama hautajali na kama unaweza kuwa unajua wapi shule ya sekondari Mwika iliko nitashukuru kupata muongozo wako!
mkuu kama hautajali na kama unaweza kuwa unajua wapi shule ya sekondari Mwika iliko nitashukuru kupata muongozo wako!
ipo klm machame huko ngoja naku pm m2 nnayemfahamu anakuja hapo
NYERERE haipo Moshi ipo Mkoa wa Kilimanjaro wilaya ya Mwanga .
Wilaya ya mwanga na Moshi n wilaya mbili tofauti lakini zote zipo mkoa wa kilimanjaro mmeelewa vijana?
ndio inaitwa jk nyerere?
ndo inachukua advanc CBG mwaka huu?no hyo inaitwa Nyerere.J.k.nyerere n nyingne ipo moshi mjini.
nah umbwe ipo wapi wakuu