Wazo la kabwela JF-Expert Member Joined Feb 13, 2013 Posts 1,812 Reaction score 1,373 Jul 11, 2013 #21 mcfupa said: ndo inachukua advanc CBG mwaka huu? Click to expand... ndio nyerere ya mwanga
Erick tryphone JF-Expert Member Joined May 8, 2013 Posts 387 Reaction score 84 Jul 12, 2013 Thread starter #22 Kutoka moshi hadi hapo shuleni ni nauri kiasi gani?
Erick tryphone JF-Expert Member Joined May 8, 2013 Posts 387 Reaction score 84 Jul 12, 2013 Thread starter #23 No More Drama said: vijijini mwanga huko karibu ni mkoa wa tanga Click to expand... nauri kiasi gani kutoka moshi hadi hapo mwanga?
No More Drama said: vijijini mwanga huko karibu ni mkoa wa tanga Click to expand... nauri kiasi gani kutoka moshi hadi hapo mwanga?
pitbull JF-Expert Member Joined Sep 22, 2011 Posts 596 Reaction score 184 Jul 12, 2013 #24 Erick tryphone said: Kutoka moshi hadi hapo shuleni ni nauri kiasi gani? Click to expand... Kwani unatokea wapi kama unatikea barabara ya dar huna haja ya kufika moshi unaahukia sehemu inaitwa lembeni shule ipo njiani ila kama unatokea moshi nauli ni tsh 2000
Erick tryphone said: Kutoka moshi hadi hapo shuleni ni nauri kiasi gani? Click to expand... Kwani unatokea wapi kama unatikea barabara ya dar huna haja ya kufika moshi unaahukia sehemu inaitwa lembeni shule ipo njiani ila kama unatokea moshi nauli ni tsh 2000