anae jua NYERERE(MWANGA) high school ipo mkoa gani?

anae jua NYERERE(MWANGA) high school ipo mkoa gani?

Kutoka moshi hadi hapo shuleni ni nauri kiasi gani?

Kwani unatokea wapi kama unatikea barabara ya dar huna haja ya kufika moshi unaahukia sehemu inaitwa lembeni shule ipo njiani ila kama unatokea moshi nauli ni tsh 2000
 
Back
Top Bottom