Anaefaham kuhusu hili suala la mafunzo ya JKT

Anaefaham kuhusu hili suala la mafunzo ya JKT

mr iko press

Member
Joined
Jan 3, 2015
Posts
56
Reaction score
3
habari zenu jaman, kuna tetesi huku mtaani kuwa hakutakuwa na mafunzo ya JKT kwa wahitimu wa kidato cha sita 2015, je ni kweli? kama kuna mtu mwenye uelewa anisaidie. Najua nipo ndani ya GREAT THINKERS so nategemea kupata mawazo yenye busara. ahsanteni
 
mafunzo ya jkt kwa wanaonde kwa mujibu yani form six,walimu wa grade A na DSEE yamesitishwa baada ya awamu ya pili ya jkt kumalizika.yataendelea pale serikali itakapo weka mkakati mzuri.
 
Usiishi kwa tetes.. znaleta vdonda vya tumbo, zinaleta ugomvi n.k.

Hili hapa tangazo lao:
kwa maelezo zaid pitia site yao: Siku iz kila kitu kipo wazi:

TANGAZO MAFUNZO YA JKT KWA MUJIBU WA SHERIA JESHI LA KUJENGA TAIFA LINAPENDA KUWATAARIFU VIJANA WATAKAOHITIMU KIDATO CHA SITA MEI 2015, KUWA WATAJIUNGA NA MAFUNZO YA JKT KWA MUJIBU WA SHERIA KUANZIA JUNI 2015. ORODHA YAO NA VIKOSI WATAKAVYOPANGIWA ITATOLEWA BAADA YA MAWASILIANO KUKAMILISHWA KATI YA JKT NA BARAZA LA MITIHANI LA TAIFA - NECTA. AIDHA, JKT LINATOA UFAFANUZI KUWA, MAFUNZO YA JKT YALIYOAHIRISHWA NI KWA WALIMU NGAZI YA CHETI NA DIPLOMA WALIOKUWA WAJIUNGE NA MAFUNZO HAYO MWEZI JANUARI HADI MACHI 2015.
MAFUNZO YA JKT HAYAKUSITISHWA KAMA ILIVYOANDIKWA KWENYE BAADHI YA VYOMBO VYA HABARI PAMOJA NA MITANDAO YA KIJAMII.
TANGAZO HILI LIMETOLEWA NA MAKAO MAKUU YA JESHI LA KUJENGA TAIFA.

Jkt website
 
Back
Top Bottom