mr iko press
Member
- Jan 3, 2015
- 56
- 3
habari zenu jaman, kuna tetesi huku mtaani kuwa hakutakuwa na mafunzo ya JKT kwa wahitimu wa kidato cha sita 2015, je ni kweli? kama kuna mtu mwenye uelewa anisaidie. Najua nipo ndani ya GREAT THINKERS so nategemea kupata mawazo yenye busara. ahsanteni