mr iko press
Member
- Jan 3, 2015
- 56
- 3
mafunzo ya jkt kwa wanaonde kwa mujibu yani form six,walimu wa grade A na DSEE yamesitishwa baada ya awamu ya pili ya jkt kumalizika.yataendelea pale serikali itakapo weka mkakati mzuri.habari zenu jaman, kuna tetesi huku mtaani kuwa hakutakuwa na mafunzo ya JKT kwa wahitimu wa kidato cha sita 2015, je ni kweli? kama kuna mtu mwenye uelewa anisaidie. Najua nipo ndani ya GREAT THINKERS so nategemea kupata mawazo yenye busara. ahsanteni