Anaefahamu gharama za awali UDOM

Anaefahamu gharama za awali UDOM

Remastar

Member
Joined
Sep 26, 2014
Posts
16
Reaction score
0
habari ndugu zangu wapenzi...mimi mpaka sasa nikijaribu ku download admission later nashindwa..sasa ninachokitaka ni msaada kwa anaefahamu hata gharama za mwanzo ili nijipange mapema zaidi me ni first year
 
Usipate shida ya kudownload na kuprint,kikubwa cha kujaza ni medical examination form na hii inafanana kwa koz zote,so wasiliana na mtu ambaye ameprint ukatoe kopy then nenda gvt hospital kaijaze,also hiyo registration form toa kopi 4 kajazie chuoni,uwe na passport size 4 na vyeti OG vya O'level na 6 (result slip kwa wahitimu wa 2014) direct cost ni 282500 kwa non health progs na 303500 kwa health,
 
But kudownload ni easy tu,ingia ALIS then fuata maelekezo na ikifunguka check left juu kuna sehemu imeandikwa Other documents....... click hapo then jaza info zako bac zitakuja na utadownload
 
Back
Top Bottom