Usipate shida ya kudownload na kuprint,kikubwa cha kujaza ni medical examination form na hii inafanana kwa koz zote,so wasiliana na mtu ambaye ameprint ukatoe kopy then nenda gvt hospital kaijaze,also hiyo registration form toa kopi 4 kajazie chuoni,uwe na passport size 4 na vyeti OG vya O'level na 6 (result slip kwa wahitimu wa 2014) direct cost ni 282500 kwa non health progs na 303500 kwa health,