Huwezi kukiondoa na hata ukiwapigia hawatakubali kukitoa.nataka kukiondoa vibaki ambavyo mara nyingi naona nafasi za ajira
Kwahy akienda tuu stationary utasaidiwa?Pole nenda stationary
Sasa mzee unadhani mtu anashindwa ku upload cheti what do you think about his / her computer literacyKwahy akienda tuu stationary utasaidiwa?
Wabongo bhana 😂
Ht mm hy ishu iliwah kunikuta, wakagoma kuondoa cheti hvy nikabak nacho mpaka sa h.changamoto sana aiseee
Waambie shida yako ku upload cheti ni rahisi sijawahi Tumia ajira portal but that is a one minute thingnikifika pale NIFANYEJE nipe muongozo
Kwan amesema shida n kuapload cheti?Sasa mzee unadhani mtu anashindwa ku upload cheti what do you think about his / her computer literacy
Nimempa pole stationary watamsaidia
Zaidi ya kumtukana nimempa very subtle option
Tell me what should him/her do
Cheti hakipo thats a subtle problemKwan amesema shida n kuapload cheti?
ila daddy 🤣🤣🤣 nikitafakari mambo ya ajira nachoka sana 🤣🤣🤣🤣Ht mm hy ishu iliwah kunikuta, wakagoma kuondoa cheti hvy nikabak nacho mpaka sa h.
Watakuuliza hicho cheti n chako au sio chako, utajibu n changu, watakuambia bc subir ajira kulingana na cheti ulichoweka.
Stationery.Pole nenda stationary