Mbaga Jr
JF-Expert Member
- May 28, 2018
- 54,814
- 133,717
Sijui hata unaongea nn.Cheti hakipo thats a subtle problem
Hey not in a for a league
Help a man
Anyway, uwe na siku njema boss
Sijui hata unaongea nn.Cheti hakipo thats a subtle problem
Hey not in a for a league
Help a man
Hakuna namnaila daddy 🤣🤣🤣 nikitafakari mambo ya ajira nachoka sana 🤣🤣🤣🤣
Poleh mkuu, hapo mpaka PSRS wenyewe ndo wanaweza, jaribu kufka ofsn kwao..nataka kukiondoa vibaki ambavyo mara nyingi naona nafasi za ajira
Nachoka sana 🥱🥱🥱Stationery.
Stationary - Kuwa sehemu moja, kutokuwa kwenye movement.
Yeye hataki ku-upload anataka kukiondoa au delete kisiwepo kwenye record za ajira portal.Waambie shida yako ku upload cheti ni rahisi sijawahi Tumia ajira portal but that is a one minute thing
Basi msaidie mkuuYeye hataki ku-upload anataka kukiondoa au delete kisiwepo kwenye record za ajira portal.
SHUKRANI MKUUHabari njia pekee yakutoa cheti kilichokosewa kua uploaded ajira portal ni kufika ofisi zao posta dsm jengo linaitwa UTUMISHI kalibu na kivukoni Dodoma UDOM utawala jengo la utumishi asharose migiro road ….hakuna njia yoyote yakufuta kwenye system hata ukipiga simu kupokea ni nadra sana nasisitiza hakuna njia nyingine zaidi ya kufika ofisini kwao wasikudanganye ukapoteza muda