Anaefahamu namba ya kushusha cheti ajira Portal anielekeze jamani

Waambie shida yako ku upload cheti ni rahisi sijawahi Tumia ajira portal but that is a one minute thing
Yeye hataki ku-upload anataka kukiondoa au delete kisiwepo kwenye record za ajira portal.
 
Habari njia pekee yakutoa cheti kilichokosewa kua uploaded ajira portal ni kufika ofisi zao posta dsm jengo linaitwa UTUMISHI kalibu na kivukoni Dodoma UDOM utawala jengo la utumishi asharose migiro road ….hakuna njia yoyote yakufuta kwenye system hata ukipiga simu kupokea ni nadra sana nasisitiza hakuna njia nyingine zaidi ya kufika ofisini kwao wasikudanganye ukapoteza muda
 
Wew ulitakiwa ueleze umeweka vyeti gani na gani maelezo yako hayatoshelezi na shida nn
 
SHUKRANI MKUU
 
Now dayz si kuna option ya request kuremove cheti pale
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…