Anaefanya kazi Azam tv sehemu ya ku-reply ajithathimini.

Prakatatumba abaabaabaa

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2022
Posts
1,842
Reaction score
6,087
Aisee Hutu jamaa sidhani Kama anajua kazi yake,sehemu nyingi zenye utata harudii/hazirudii inaweza chukua hata dakika 5 akarudia kidogo tu,

Tunaomba ajirekebishe na awe sharp kwenye matukio kufanya reply..
 
Wakati mwingine anaonyesha mchezaji anaanguka badala ya kuonyesha sababu ya kuanguka.
 
Aisee Hutu jamaa sidhani Kama anajua kazi yake,sehemu nyingi zenye utata harudii/hazirudii inaweza chukua hata dakika 5 akarudia kidogo tu,

Tunaomba ajirekebishe na awe sharp kwenye matukio kufanya reply..
Kuna tofauti kubwa kati ya re-play na reply
 
Azam tv ule mkataba wa muda mrefu imewafanya wajisahau Kuna kipindi mpira unaendelea wanaonyesha watu wa jukwaani inaonekana hawajui maana ya kuonyesha mpira live
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…