Anaehusika na kuset kodi za magari used TRA aangalie vizuri ushuru wa Nissan Leaf 2019 EV nataka ivuta Februari!

Magari ya kubeba chakula kutoka shamba yana kodi juu pamoja na ya ujenzi usitegemee hiyo gari wakashusha kodi Subaru SH 9 ya 2009 kodi ni 18m wakati SH 5 ya 2011 kodi ni 9m sijui wanawaza nini hawa jamaa wanaoseti hizi kodi..
 
Ukijua kufanya research nzuri ya kodi especially kwenye miaka na models, unaweza kupata gari zuri la bei ndogo
 
Nimepata BMW X 1 ya 2011 huku bei ndogo na hao TRA wanataka 8m ni gari nzuri sana sikujua hili nilijua Bmw nayo ni kundi la magari ya Anasa..
20250124_123311.jpg
20250124_123251.jpg
 
Back
Top Bottom