Sigara Kali
JF-Expert Member
- May 28, 2017
- 3,623
- 8,442
Ngoja nitajaribu mkuu,nataka kufikia miaka 36 ndevu zote ziwe mvi tupu na ikiwezekana kichwani pia,Nina nywele za kipilipili bora niwe na mvi tuDuuh aisee dawa ya kuongeza na sio kupunguza!!?
Ingekua inawezekana ningekupa zangu aisee kijana mdogo nna madevu hatariii.
Wanasemaga asali na mdalasini zinaotesha nywele sasa na ndevu si ni nywele labda ukipaka utazipata mkuu!!
Mi nipo ukanda wa ziwa huku ,so kwenda DSM karibuni sina ratiba hiyoNenda kwa duka la yule mtangazaji wa Clouds,(Fetty) ana hizo products za kukuza ndevu na nywele.
Ndevu na mvi nyingi sio stress /msongo wa mawazo bali ni genetic ya mtu na mtu.Una stress za kutosha? Kama hauna ongeza stress tu mvi na madevu mengi huwa yanakuja yenyewe ukiwa na stress
Thanx mkuuNenda kwenye page yake instagram, m-dm, nadhan atakupa utaratibu wa namna ya kuipata hiyo bidhaa unayoitaka.
Ukifukuzwa kazi uliyonayo mvi hazichelewi..Wananzengo salama?
Nahitaji dawa ya kuongeza ndevu pamoja na mvi za kichwani na kwenye ndevu
Nina mvi chache kwenye ndevu na nyingine kichwani so nahitaji ndevu zote ziwe nyweupe na kichwani pia
Kama kuna dawa unaifahamu nambie inaitwaje.
Duka lipo wapiNenda kwa duka la yule mtangazaji wa Clouds,(Fetty) ana hizo products za kukuza ndevu na nywele.