hey wana jamvi kuna rafiki yangu amechaguliwa corse inayoitwa "bachelor of health administration" sasa alikuwa anaomba msaada wa kujua kuhusu ajira na maeneo ya kupata kazi. Kwaanae faham tunaomba atujuze kuhusu ilo....tafadhali.
ipo chuo gani hio..sio mbaya sana kwa sababu hao wataalamu hakuna
ipo chuo gani hio..sio mbaya sana kwa sababu hao wataalamu hakuna
Iko Mzumbe pia.mara nyingi wanakuwa ma administrator wa hospital, sehemu zingine wanafanya kazi kama HR officer.Kwa ujumla hospital ndo nyumbani kwao hasaa,ajira zipo ajitahidi tu atoke na green colour.
Mwambie asome kwanza kwani kwa tz kazi haina ushirikiano na kozi uliyosoma , umesikia we wakusoma uliye na mchecheto wa kazi wakati hata assignment wala presentation moja hujafanya wala hujui raha ya ku sapu au carry-over.
sasa kama una malengo nacho kwanini ushindwe kufahamu utaenda kufanya nini baada ya kumaliza, hakika nadhani kuna kitu kinakosekana .kwani huwezi kupenda kitu wakati hujui mwisho wake utakuwaje? kwani kwa kufanya hivyo utakuwa huna tofauti na bendera fuata upepo.Ha ha ha!nimeipenda hiyo.sema si isapoti kivile coz lazima unachokisomea now unamalengo nacho kuwa kikusaidie.huwezi kwenda kwenda tu kichwa kichwa kama ng'ombe au bendera fuata upepo..lt
sasa kama una malengo nacho kwanini ushindwe kufahamu utaenda kufanya nini baada ya kumaliza, hakika nadhani kuna kitu kinakosekana .kwani huwezi kupenda kitu wakati hujui mwisho wake utakuwaje? kwani kwa kufanya hivyo utakuwa huna tofauti na bendera fuata upepo.
NJAA KINOMA,bro wangu mpaka sasa yupo tu nyumban anakula majan ya mchicha kwanza ata field yenyewe kupata aliteseka kchz,mi course mingne bwana FULL MAJANGA
kjana hapo shavu lipo mshahara m 1.5 had m2 so cha muhmu ww komaa mana kla kzur huwa ni kigumu kukpata na kudisco kwa wing so kuwa makn
sio hvyo 2 badi yeye ndo anakua admistration yan kubwa wa madactar wa wale wa maabara na manes kwako cha mtoto ila nayo kunakudisco na kurud nyumban unatakiwa misul mara 10 ya misul ya advance
Siyo kweli kwa hosp.mwenye sauti ni daktari mkuu/mkurugezi wa hosp.ambaye mara nyingi anakuwa ni Daktari,administrator au katibu wa hosp.anakuwa yupoyupo tu hana meno kabisa inatia huruma.
Bwana mmoja kaandika mshahara 1.5m si kweli may be kama anafanya mzaha kwenye jukwaa hawafiki hata kwenye 1m,ni bora kutoandika kitu mtu kama hana uhakika kuliko kupotosha.Si lazima mtu kudisco inategemea na uewezo wake wako watu wamesoma hawajui kitu kudisco wala kusup.wanasikia tu.wala hakuna haja ya kuogopa.