Anaejua kubadilisha lugha katika radio ya Gari au kama kunasoftware nisaidiwe Gari in Subaru impreza yako ya nyani

Johnkelly

Member
Joined
Nov 14, 2016
Posts
75
Reaction score
45
Anaejua kubadilisha lugha katika radio ya Gari au kama kunasoftware nisaidiwe Gari in Subaru impreza yako ya nyani...nawasilisha.
 
Nyani ameingiaje hapa sasa?!

Gari ni yako au ya nyani?!

Au umeemanisha hili swali unawauliza nyani?!

Au sijaelewa pengine umemaanisha kwenye gari kuna nyani ndani yake?!
 
Duh!! Amemaanisha Subaru Impreza al maarufu 'tako la nyani' Bila shaka ni typing error. Ukiangalia kwenye simu yako utagundua herufi 't' na 'y' zinafuatana.
Ni vizuri zaidi mtu kusoma alichokiandika kabla hajakituma, typing error ya herufi moja tu inaweza kufanya sentensi nzima isieleweke.
 
Na Mimi na tatizo hilohilo kuna ist tumeiagiza toka japan imekuja na bonge la mziki nipo mkoani
TatizoRadio ipo lugha ya kijapani na pia frequency zake hazishiki redio za
bongo tumetafuta mjapani atusetie tumemkosa
kuna fundi hapa ametushuri tuibadili hiyo redio
kama kuna mtaalamu tunaomba ushauri tuweze kuitumia hiyo hiyo redio iliyokuja na gari
 
Katika hiyo simu yako uliyotumia ku type hapa , nenda playstore tafuta app inaitwa google translate, install! , Fungua then weka auto detect language , unaweza ukaamua ikutasfirie hata kwa kiswahili japo ni nzuri kwa english.

Tafuta maandishi unayotaka kutafsiriwa kwa kesi yako washa redio itakachoandika utapiga picha kwa hiyo program , hapo hapo itatafsiri.
 
Na Mimi na tatizo hilohilo kuna ist tumeiagiza toka japan imekuja na bonge la mziki nipo mkoani
TatizoRadio ipo lugha ya kijapani na pia frequency zake hazishiki redio za
bongo tumetafuta mjapani atusetie tumemkosa
kuna fundi hapa ametushuri tuibadili hiyo redio
kama kuna mtaalamu tunaomba ushauri tuweze kuitumia hiyo hiyo redio iliyokuja na gari
Usijisumbue. Radio nyingi za kijapani ukiacha original ya gari, hazifanyi kazi nje ya japan. Alichoshauri fundi ni sahihi. Ukitaka kuhakikisha ingia google the weka model namba ya hiyo radio utakuta ni kwa ajili ya japan tu.......
 
Back
Top Bottom