Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nyani ameingiaje hapa sasa?
Ni vizuri zaidi mtu kusoma alichokiandika kabla hajakituma, typing error ya herufi moja tu inaweza kufanya sentensi nzima isieleweke.Duh!! Amemaanisha Subaru Impreza al maarufu 'tako la nyani' Bila shaka ni typing error. Ukiangalia kwenye simu yako utagundua herufi 't' na 'y' zinafuatana.
Katika hiyo simu yako uliyotumia ku type hapa , nenda playstore tafuta app inaitwa google translate, install! , Fungua then weka auto detect language , unaweza ukaamua ikutasfirie hata kwa kiswahili japo ni nzuri kwa english.Na Mimi na tatizo hilohilo kuna ist tumeiagiza toka japan imekuja na bonge la mziki nipo mkoani
TatizoRadio ipo lugha ya kijapani na pia frequency zake hazishiki redio za
bongo tumetafuta mjapani atusetie tumemkosa
kuna fundi hapa ametushuri tuibadili hiyo redio
kama kuna mtaalamu tunaomba ushauri tuweze kuitumia hiyo hiyo redio iliyokuja na gari
Ntaelewa anamwambia nyani kuwa gari yake aina ya harrier [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kwani MTU akisema harrie yako nyani unaelewa nn??
Usijisumbue. Radio nyingi za kijapani ukiacha original ya gari, hazifanyi kazi nje ya japan. Alichoshauri fundi ni sahihi. Ukitaka kuhakikisha ingia google the weka model namba ya hiyo radio utakuta ni kwa ajili ya japan tu.......Na Mimi na tatizo hilohilo kuna ist tumeiagiza toka japan imekuja na bonge la mziki nipo mkoani
TatizoRadio ipo lugha ya kijapani na pia frequency zake hazishiki redio za
bongo tumetafuta mjapani atusetie tumemkosa
kuna fundi hapa ametushuri tuibadili hiyo redio
kama kuna mtaalamu tunaomba ushauri tuweze kuitumia hiyo hiyo redio iliyokuja na gari