Anaejua kuhusu pesa

Anaejua kuhusu pesa

Kwa hiyo wewe hautumii pesa.....What a fool..
Unalishwa mavi unakula kisha unakuja kulalamika mavi ni mabaya wakati unabugia...

Hama hii dunia / au kufa kabisa...

Fool kabisa wewe..

wapi nimeandika situmi pesa?

umetumia kipimo gani na kipi kujua mi mjinga?

wewe si ndo genius mjibu mleta mada?

we si level yangu
 
Habari wana JF,

Naomba kusaidiwa kujua jibu la swali langu, ni vigezo gani vinazingatiwa wakati wa kuchapishwa pesa?

Kwa mfano Tanzania ikitaka idadi ya noti za shilingi 10,000 zichapishwe 1,000,000 ni vigezo au masharti yepi inabidi itimizwe au wanatoa tu idadi ya noti?

Au idadi ya noti za kila nchi ni sawa?

Utafiti ninavyoelewa mimi idadi ya pesa/noti sio issu kama unavyodhani! Thamani ya pesa ndio kila kitu!thamani ya pesa inawekwa na Benki kuu inayohusiana na utengenezaji wa hela!

Wanazingatia uchumi wa nchi kudetermine thamani ya hela, either uchapishaji wa noti (kufanya minoti iwe mingi) sijui wanatoa requirement gani but kwao wao sio tatizo kuchapisha minoti inayohitajika na nchi husika! Wanachozingatia wao ni ukuaji wa uchumi wa nchi!

Kwa mantiki hiyo, ningependa utambue kuengeza minoti kwa nchi sio maendeleo but ni kuifanya pesa ya nchi husika isiwe na thamani!

Kazi za kuifanya pesa iwe na thamani na kuchapisha or kubadilisha noti iko chini ya banki kuu ya Taifa husika, kwa hapa Tz ni BOT.

Kazi kubwa/kuu ya BOT ni kuhakikisha wanadhibiti mfumuko wa bei (inflation) Jee wanafanyaje kuhakikisha hilo? Hapo kunamaelelezo mengi sana, sitoweka but ukitaka nitakuwekea!
BOT kama BOT imeshindwa na jukumu hilo na ndio sababu hela ya Tanzania kila siku zikisonga hela inashuka thamani!
Na sababu kuu ya BOT kushindwa jukumu lake ni Kutokua huru na kujiendesha yenyewe! BOT ni moja kati ya wizara za serikali, ambapo head of BOT anachaguliwa na raisi na anabadilishwa kila baada ya miaka 5!
Kosa kuu la serikali ni kuiendesha BOT! Kumbuka issue ya kuengeza mishahara kwa wafanyakazi wa serikali!
Mara nyingi mishahara hupanda kutokana na mfumuko wa bei! Kitendo cha kupandisha mishahara kwa sababu ya mfumuko wa bei ni kuifanya pesa isiwe na thamani na vile vile ni kufanya maisha ya waliowengi (wasiofanya kazi serikalini) kuwa na maisha magumu

Kazi nyengine ya BOT ni kucontrol mzunguko wa pesa na kutambua kiwango/idadi ya hela iliyopo nchini!
Thus why kunapotokea wizi mkubwa wa hela or endapo watashindwa kujua idadi ya hela iliyopo nchini wanabadili noti ili kuzishika hela zilizoibiwa au kupata thamani ya hela iliyopo!
...
So kuchapishwa kwa minoti hakuna faida na badala yake ni kuifanya pesa isiwe na thamani! Thus why wale wanaotengeneza pesa hawaoni tatizo kuengeza minoti kwa nchi iliyoomba kufanyiwa hivyo!

Nadhani nimekujibu Utafiti, na uko huru kuniuliza swali!
 
1. Money Supply = Money Demand

2. Economic Perfomance ya nchi husika (Inflation, Exports, Imports).

3. Kuna wakati siasa zinahusika
 
Kwa mimi ninavyojua pesa iliibuka baada ya kuona mfumo wa bata system unakuwa mgumu kwa mazingira fulani. Yaani kwakuwa unataka karanga na mimi nataka andazi, basi tunabadilishana.
Baadaye waingereza wakaanza kununua mali kwa kutumia vipande vya dhahabu.
Lakini jamaa fulani waliokuwa wanafanya kazi benki huko uingereza walimshauri malkia kuwa hii mambo ya kubadilishana dhahabu baadaye itakwisha. Wakaanza taratibu kubadilisha zile pesa zenye pure gold na coated gold kila zinapopitia benki. Baadaye ikawa zinakuwa na uzito wakati wa kuzibeba.
Ndo hapo wakaanza kutengeneza za makaratasi.
 
Ama Kweli Pesa Ni Shetani Minajiuliza Kwanini Itengenezwe Sehemu Moja Dunia Mzma Na Kwanini Unakuja Na Kupotea Kwanin Haitabirki Duh Pesa Kweli Ni Devo.
 
Kuna kitu wanaita GOLD MONETARY SYSTEM, hadhina ya dhahabu katika benki kuu ndio ina determine viwango vya pesa mpya. Mara nyingi pesa ni kama hati halali ya malipo tu lakini thamani yenyewe huwa ni thamani ya dhahabu. Mbali na hivyo kuna kitu ambacho hadi leo ni taharuki ukiangalia gharama inayotumika kutengeneza pesa za sarafu "coin" na pesa za karatasi ni kubwa kuliko thamani ya pesa yenyewe.
 
Kuna kitu wanaita GOLD MONETARY SYSTEM, hadhina ya dhahabu ktk benki kuu ndio ina determine viwango vya pesa mpya.Mara nyingi pesa ni kama hati halali ya malipo tu lakini dhamani yenyewe huwa ni dhamani ya dhahabu. Mbali na hivyo kuna kitu ambacho hadi leo ni taharuki "ukiangalia gharama inayotengeza coin & note ni kubwa kuliko dhamani ya pesa yenyewe"

Hapo umenichanganya kabisa mkuu. Tuseme gharama yakutengeneza noti ya shiling 500 nikubwa kuliko thamani ya noti yenyewe? Inawezekana kutengeneza noti hiyo inafika tsh 1000 ili ikamilike?
Cc KUFALAZIMA
 
Last edited by a moderator:
Hapo umenichanganya kabisa mkuu. Tuseme gharama yakutengeneza noti ya shiling 500 nikubwa kuliko thamani ya noti yenyewe? Inawezekana kutengeneza noti hiyo inafika tsh 1000 ili ikamilike?
Cc KUFALAZIMA

Kaka labda nchangie kidogo, Katika soma soma zangu vtabu nliwah kukutana na hii kitu inaitwa segniorage sina hakika na spelling,hii ni gharama ambayo mtengeneza noti( mfano BOT) analipa kwa mchapisha noti mfano kampuni ya ujerumani, pesa inayolipwa kwa kila noti au coin ni ndogo kuliko pesa usika, zamani sana gharama hii ilikua kubwa ila kwa coin tu kwakua coin zilikuzinatengenezewa na madini kama silver,gold na shaba,so utakuta coin ya tsh kumi kuitengeneza ni sh 15,but kwa sasa haipo hyo coz coin nying hazina madin halis kama tunavyoona tsh hamsn zetu na tsh mia
 
Back
Top Bottom