Anaejua kutumia app ya kikuu anielekeze jinsi ya kulipia bidhaa

Anaejua kutumia app ya kikuu anielekeze jinsi ya kulipia bidhaa

blackgal94

Member
Joined
Jul 13, 2016
Posts
37
Reaction score
15
Naomben mnisaidie jinsi ya kulipia bidhaa nimekwama ....hatua zake.plz
 
Hatua zake zipo rahisi
1. unajiandikisha - registration
2. unachagua bidhaa
3. unachagua kuilipia kwa njia ya simu -mpesa/tigo pesa kutokana na namba uliyoisajili

www.kikuu.com

kama unataka kuagiza mzigo nitafute kwa ushauri
 
Back
Top Bottom