R Rwebo JF-Expert Member Joined Oct 17, 2015 Posts 1,418 Reaction score 1,820 Jul 2, 2021 #1 Wakuu naomba kujuzwa kuhusu shule tajwa hapo juu. Naomba kujua ipo umbali gani toka Kibiti mjini na mambo wawili matatu kuhusu shule hiyo. Mtu atalajie nini na ajiandae na nini. Kijana wangu amepangwa kufundisha hapo. Shukran sana.
Wakuu naomba kujuzwa kuhusu shule tajwa hapo juu. Naomba kujua ipo umbali gani toka Kibiti mjini na mambo wawili matatu kuhusu shule hiyo. Mtu atalajie nini na ajiandae na nini. Kijana wangu amepangwa kufundisha hapo. Shukran sana.