Anaejua soko la simu used bei kitonga

Anaejua soko la simu used bei kitonga

meek444

Member
Joined
Sep 9, 2024
Posts
5
Reaction score
2
Nataka kuanza kuuza simu used, anayejua soko au wapi wanauza bei ya jumla iwe ndani ama nje ya nchi anipe A to Z....🙏🙏🙏🙏
 
bei ya jumla iwe ndani ama nje ya nchi
1725921878891.png

1725921909496.png

1725921964535.png

- Wafanya biashara wali wengi huchukua mzigo china, na baadhi huagiza dubai.
-Mfano hizo picha nimetoa alibaba.
Code:
Unlocked Cheap Used Mobile Used Phones phone 8 Plus X XS XR 11 12 PRO MAX Phone for iPhone
https://www.alibaba.com/product-detail/Wholesale-Unlocked-Cheap-Used-Mobile-Used_1600754134563.html?spm=a2700.7724857.0.0.2860539djfdAOX
 13
- Je nin cha kufanya ili upate faida kubwa.
1. Chukua simu kwa idadi kubwa mfano 100pcs za brand utakayoitaka
2. Safirisha kwa meli - Ghalama ziko chini sana. (Tatizo mzigo musa mrefu kufikam hadi mieizi miwili)

=Nje ya mada=
Kwa mahitaji ya:
1. Kutafutiwa supplier toka china wa bidhaa yeyote ile waweza nicheki kwenye thread yangu: Nunua bidhaa kutoka Mataifa 15 ikiwemo USA, UK, UAE na China sasa
2. Kusimamia zoezi zima: Manunuzi + usafirishaji + Delivery mahala ulipo: Usisite kuwasiliana nami.

NB: Kazi ya kukutafutia suppliers kwa bidhaa zako za biashara sio bure.
 
Jaribu kuuza hii yangu nikupe madini.. sim zinatoka dubai hizo na mtandao wao maaruf wa kuagiza unaitwa Noor

Oya nina sim hpa naiuza mkuu Samsung A25
 
Back
Top Bottom