Anaelawiti watoto adhabu iwe kuhasiwa, viboko 180 na abandikwe mhuri wa moto kwenye paji la uso

dmkali

JF-Expert Member
Joined
Nov 17, 2014
Posts
11,793
Reaction score
22,552
Adhabu ni kuchagua!
Tunajaza wafungwa wa bure magerezani!

Nashauri adhabu kwa yeyote anaelawiti watoto wadogo! Awe mwalimu, shekhe, mchungaji, padri,dereva, mjomba, kaka, baba, bodaboda au jirani.

IKITHIBITIKA Kalawiti au kubaka ADHABU IWE NI KUHASIWA, na viboko 6 kila siku mfululizo ndani ya siku 30!
Halafu baada ya hapo Abandikwe mhuri wa moto kwenye paji la USO!

Ili jamii itambue kwamba aliyeko mbele yao ni mlawiti!!

Kuna watu jamii inawategemea sana lakini wamekuwa wanyama!

Kuwafunga haisaidii kwanza ni hasara! TUSIOGOPE KUWAHASI WALAWITI NA WABAKAJI! Wabaki uraiani walee mimba zao zilizotokana na ubakaji lakini WABAKIE KUWA MAHANITHI maisha yao yote! Na mhuri wa moto usoni!

Tutakuwa tumeokoa pesa za kuwahudumiahuko gerezanj, pia kama binti aliyezaa anarudi shule basi na hawa WABAKAJI tutakuwa tumewapa chance ya pili ya kuishi na jamii na familia zao huku wakiwa MAHANITHI!
 
Naunga mkono hoja ya kuhasiwa na voboko. Ila hiyo ya kuweka muhuri usoni hapana.
Kwann hapana! Mbona wamasai na moja ya kabila la kusini wana chata usoni na wanaishi?
 
Naunga mkono kupigwa chata usoni na viboko, kuhasi NO!
 
ukimuweka alama usoni kina James Delishoz watamgombania wakijua ni baasha wao!
 
Juzi nilikua naangalia kipindi cha Dakika 45 ITV alikua anahojiwa mwanasheria mkuu wa serikali akawa analizungumzia hilo suala akasema 'hizo kesi ni very sensitive na baadhi ya wanaume hua wanabambikiwa na wanawake kua wamefanya hivyo kwa sababu zao binafsi unakuta mwanamke anajiliza hapo mwanaume anashindwa kujitetea..' mwisho wa kunukuu

Nitarudi..
 
Kuhasiwa,
Kufilisiwa
Kufanya kazi ngumu magereza
 
Juzi nilikua naangalia kipindi cha Dakika 45 ITV alikua anahojiwa mwanasheria mkuu wa serikali akawa analizungumzia hilo suala akasema 'hizo kesi ni very sensitive na baadhi ya wanaume hua wanabambikiwa na wanawake kua wamefanya hivyo kwa sababu zao binafsi unakuta mwanamke anajiliza hapo mwanaume anashindwa kujitetea..' mwisho wa kunukuu

Nitarudi..
Wengi hufanya, hasa kwa watoto wadogo
 
Hii siyo hoja kama Kuna madakitali na wataalam wa vipimo
 
Wengi hufanya, hasa kwa watoto wadogo
Nimenukuu km alivyosema sijasema mimi na sijakataa kwamba hakuna wanaofanya hivyo, sikiliza kipindi cha Suluhu UFM kesho Jumamosi kuanzia saa 5 asubuhi hadi saa 6 Mchana utajifunza kitu mkuu

Nitarudi..
 
Alisema wapo madaktari wanaopangwa watoe majibu ambayo sio ya kweli..
Kesi kama hizo nchi iliyoendelea watoto hupimwa na serikali, na siyo bongo anaelalamika ndo anampeleka mtoto kwenye vipimo!!
Ilitakiwa serikali ndiyo ikampime ikiwezekana kesi kama hizi Kuna kuwa na vipimo vya ndani sehemu mbili tofauti ili madakitali nao waogopane kudanganya!
 
Ndio maana mwanasheria mkuu akasema kuna baadhi ya kesi za hivyo alipozifuatilia kwa umakini aliweza kubaini udanganyifu uliofanyika kwa baadhi ya watuhumiwa kwa hio baadhi ya watuhumiwa wasio na hatia waliweza kufutiwa mashtaka yao maana wengine wanasingiziwa tu sio kwamba wamefanya huo ufirauni

Wanaokwenda Jela sio wote wana hatia wengine wanakwenda kwa kesi za kusingiziwa mkuu

Hakimu na Jaji inabidi awe makini sana kubaini udanganyifu wa waleta mashtaka bila hivyo mtu anapigwa mvua ya maisha wakati kosa hajafanya

Hoja yako imejificha kwenye uzembe wa madakitali na utaratibu mbovu wa upimaji lakini haina maana WABAKAJI hawabaki!

Ebu chukulia binti ambaye sawa kashawahi Fanya mapenzi, AKIBAKWA halafu uje umpime baada ya mwezi utapata nini? Unafikili majibuutakayoyapata baada ya siku kadhaa kupita yanaweza kudhibitisha ubakaji? Wataalam na mwanasheria mkuu alitakiwa aje na mwarobaini Wa kesi hizi kuwa na special examination punde tu baada ya tukio! Polisi ipewe utaratibu wa kupeleka hospital immediately baada ya kupokea mashitaka!
Halafu itasindikizwa pia na ushahidi wa kimazingira kwenye kesi!

Chanzo kikuu cha kesi hizi ni kuchelewwshwa vipimo na danadana za mahakamani!
Lakini asilimia za uongo kwenye hizo kesi ni ndogo sana! Na zinapanguliwa na ushahidi wa kimazingira!
 
Mkuu emu ingia YouTube tafuta yale mahojiano ya Juzi ya mwanasheria mkuu wa serikali kipindi kinaitwa Dakika 45 ITV ukishaangalia utaelewa vizuri maana naona mimi haunielewi au unalazimisha nikuelewe vile unavyoelewa wewe

Au nikuletee video link hapa uangalie?

Alisema nanukuu 'wapo madaktari wanaodanganya majibu ya vipimo...'

Mwisho wa kunukuu

Sawa ngoja nichungulie
 
Hoja yako imejificha kwenye uzembe wa madakitali na utaratibu mbovu wa upimaji lakini haina maana WABAKAJI hawabaki!

Ebu chukulia binti ambaye sawa kashawahi Fanya mapenzi, AKIBAKWA halafu uje umpime baada ya mwezi utapata nini? Unafikili majibuutakayoyapata baada ya siku kadhaa kupita yanaweza kudhibitisha ubakaji? Wataalam na mwanasheria mkuu alitakiwa aje na mwarobaini Wa kesi hizi kuwa na special examination punde tu baada ya tukio! Polisi ipewe utaratibu wa kupeleka hospital immediately baada ya kupokea mashitaka!
Halafu itasindikizwa pia na ushahidi wa kimazingira kwenye kesi!

Chanzo kikuu cha kesi hizi ni kuchelewwshwa vipimo na danadana za mahakamani!
Lakini asilimia za uongo kwenye hizo kesi ni ndogo sana! Na zinapanguliwa na ushahidi wa kimazingira!
You can not rule out uwezekano wa kusingiziwa.
 
Back
Top Bottom