Mzee wa fact
JF-Expert Member
- Jul 9, 2012
- 246
- 228
Waungwana nlisikia stori flani kuhusu marehemu papa wemba alikua na rafiki yake flani ambae alikua mwanamuziki alimpenda sana papa wemba kiasi kwamba kuna kipindi alisikia taarifa za kifo cha papa wemba akafa kwa msituko kwa anaemfahamu jina lake anipatie plz