Anaepajua wilaya ya Lushoto

Mkuu kama vipi tubadilishane mi niko kigamboni napenda kuhamia huko... Nicheki kama vipi tujue cha kufanya..
 
Nauli dar lushto elfu 13 mpk 16, magar kibao ndgu mabasi yanatoka dar asubh kwenda lshoto na kurud,,,
 
mi nipo huku lushoto napiga tempo shule ya primary rosmini, huku sio pazuri kivile na sahau kupewa shule za town maana walimu ni wengi. kuna baridi kali. Nauli kutoka Dar ni elfu 15
 
Mr Adam Gella;

Nilichagua Moro, Pwani na Dar,Po Box Box nilijaza Dar.
 
Last edited by a moderator:
Hyo ni tupatupa imeanza kutisha sasa, bt labda kwa mdau wameangalia ukarbu uliopo lushoto na moro na dar na pwan so kuwekwa tanga si mbal na mikoa hyo.
 
Hyo ni tupatupa imeanza kutisha sasa, bt labda kwa mdau wameangalia ukarbu uliopo lushoto na moro na dar na pwan so kuwekwa tanga si mbal na mikoa hyo.

duuh kweli kaka ...mana wanaangalia kanda uliijaza na sanduku LA barua
 
Mkuu kama vipi tubadilishane mi niko kigamboni napenda kuhamia huko... Nicheki kama vipi tujue cha kufanya..

mzee wa kigamboni tubadilishane na mie niko muhezaa idara ya sec.
 

Kambi popote lushoto ni sehemu nzuri sana usitishwe na wajuaji wa jamii forum...cha msingi tafuta jina la shule uliyopangiwa
 
mwambie akufanyie mishe Shambalai sec Yoghoi au Ubiri ziko town kuna moja ni nzuri ila cna uhakika kama wilaya mpya ya Bumbuli hawajaichukua inaitwa Soni sec yaani ukkiffka hapo kila kitu bure nyumba maji umeme
 
Kuna milima huko balaa, ukutoka Mombo tu unapanda bonge la muinuko na pamekaa kishamba shamba kama Sumbawanga hivi ingawa watu huwa wanapasifu

Lushoto baba mkuu hali ya hewa ya lushoto na tukuyu ni za kipekee hapa tz chakula kingi maisha safi kabisa so ticha aisiwe na shaka aeende tu
 
Lushoto pako standard ni sehemu tulivu sana pia haijavamiwa sana na wagen japo wanachuo wa IJA na SEKOMU wanapeleka utamadun wa magharbi lakn n mji wenye unyevunyevu na barid pia mvua mara kwa mara lakn sio sehem ya kusema huwez kuishi la! Unaweza kabisa. Usafir wa dar lushoto inategemea na basi mfano Burudan ni sh 12000, shambalai 15000, nk
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…