Anaesema tupuuze taarifa za CNN alete za kwake

Mbondijr

Senior Member
Joined
Sep 9, 2024
Posts
184
Reaction score
355
Ni rahisi nyeupe kuwa nyeusi lakini sio nyeusi kuwa nyeupe Aisee huu mbinyo umewafanya wakimbie kama kuku alokatwa kichwa ,huzani anapokimbia ndo anakimbia kifo kumbe ndo tayari kishamkabili.

Nyie wazee wa buku Saba unaoshupaza shingo kuwa ripotiya CNN Ni yakupuuzwa tunaomba na nyie mtuletee ya kwenu,. December 9 nitakuwepo
 
CNN imewaingilia nyuma kwa pupa CCM na waovo wengine.

Ukombozi wa Tanganyika u mbioni.
 
Ni rahisi nyeupe kuwa nyeusi lakini sio nyeusi kuwa nyeupe Aisee huu mbinyo umewafanya wakimbie kama kuku alokatwa kichwa ,huzani anapokimbia ndo anakimbia kifo kumbe ndo tayari kishamkabili.

Nyie wazee wa buku Saba unaoshupaza shingo kuwa ripotiya CNN Ni yakupuuzwa tunaomba na nyie mtuletee ya kwenu,. December 9 nitakuwepo
Kwanza angeruhusu twende kondo
 
Nchi imeingiliwa kinyume na maumbile vya kutosha, acha itibiwe sasa
 
Back
Top Bottom