Nguvu!Tukutane d9
Kwanza angeruhusu twende kondoNi rahisi nyeupe kuwa nyeusi lakini sio nyeusi kuwa nyeupe Aisee huu mbinyo umewafanya wakimbie kama kuku alokatwa kichwa ,huzani anapokimbia ndo anakimbia kifo kumbe ndo tayari kishamkabili.
Nyie wazee wa buku Saba unaoshupaza shingo kuwa ripotiya CNN Ni yakupuuzwa tunaomba na nyie mtuletee ya kwenu,. December 9 nitakuwepo
Tatizo lenu ni matusiCNN imewaingilia nyuma kwa pupa CCM na waovo wengine.
Ukombozi wa Tanganyika u mbioni.
Kwa hiyo tuwabembeleze hawa wauaji?Tatizo lenu ni matusi
Mwisho wao umekaribia.Hizi kenge ndo zinafanya tuwe na taifa la hovyo