Anaewaelewa wanawake anisaidie

Koh MaHo kamoyo kangu kuna mtu nimemkabidhi nikakachukue atakaniumizia eeeh.!
No Wee mkabidhi tu moyo wako
Ila don't forget to carry your brain with you
Napia mwanamke usimwambie siri zako kiviile
Chuja za kumwambia
 
Hapa kila mtu nazakeee
Sijui nani atamuanza mwenzie hapa labda itokee emergency ambapo automatic tutajikuta tunaongea
Binafsi roho inaniuma sana nikiwaza kwanini amweleze huyo mama habari za mume wake??!! Alitarajia nini???
 
Wee hujui tu yani
Huyo baba kuna vitu ananiambia mara kwa mara . Sasa nilimwambia tu ili ajue isije siku akaona mi nimekaa sehemu yangu nipo nayangu huyo baba akajipitisha pitisha akahisi mengine
Nilimwambia makusudi ili akiona athibitishe mwenyewe
 
Hapa kila mtu nazakeee
Sijui nani atamuanza mwenzie hapa labda itokee emergency ambapo automatic tutajikuta tunaongea
Binafsi roho inaniuma sana nikiwaza kwanini amweleze huyo mama habari za mume wake??!! Alitarajia nini???
Hao n wale watu hawawez
Kukaa,na ktu alichoambiwa
Maana anaona atakufa kama
Hajakipeleka kwa mwemyewe

Kuna,wanawake wafkiriaga nusu
Nusu yan wengne had quarter quarter
 
umepata cha kujifunza usimwamini mtu haswa marafiki hawa
Kweli kabisa. Nimekoma mwenzenu. mwanaume mwenyewe mkurya mkewe anasema anakaa na panga na fimbo ndani mwee! si alitaka kuniletea matatizo usiku usiku huu huyu jamani!!
 
POLE SANA MAMY...AU UKIONA HUMU PAGUMU UNIITE TUSHINDE WOTE...SEHEMU TULIVU
 
Asante ndugu
Bora hata wangechafua hio cv
Ni hapahapa tunapoishi. kuzungukana tu.
Unajua kuna vitu vingine unatakiwa kujiongeza
Sawa wanawake tuna maneno, wanawake tunaongea ila unaangalia mazingira / wahusika
kuna watu huwa hawajitambui
Yan wanakua tu kimwili lakin
Akili n zro p1 na,wanawake
Kutokupendana kwenu na kuchukiana
Plus maneno maneno

Lakin mtu akjitambua walau
Atafkiria cha kuomgaea/kufanya
Kabla hajatenda anachotaka
Kufanya
 
Kweli kabisa. Nimekoma mwenzenu. mwanaume mwenyewe mkurya mkewe anasema anakaa na panga na fimbo ndani mwee! si alitaka kuniletea matatizo usiku usiku huu huyu jamani!!
hahaah pole shost
 
Siyo kila anayekuchekea moyoni anakupenda... Kheri uishi maisha yako uonekane mjinga kuliko kuwa associate na watu wanafaiki... Wengine hawana roho...
Kweli kabisa
Huyo mama jamani anajishtukia tu anajihamii mi walaa nishampuuza sitaki hata kumuona
 
kuna watu huwa hawajitambui
Yan wanakua tu kimwili lakin
Akili n zro p1 na,wanawake
Kutokupendana kwenu na kuchukiana
Plus maneno maneno

Lakin mtu akjitambua walau
Atafkiria cha kuomgaea/kufanya
Kabla hajatenda anachotaka
Kufanya
Jamani kuna akili za kujiongeza pia. Sasa unaanzaje kumwambia mtu yanayomuhusu mumewe???
 
Kweli kabisa
Huyo mama jamani anajishtukia tu anajihamii mi walaa nishampuuza sitaki hata kumuona
Kwa sababu ni mtu wake kujishtukia lazima... Hata wewe my dear unapohisi mtu wako ana dalili za kunyemelea/kunyemelewa na mtu mwingine kama una mpenda kweli u will react...

Mfano hao unao hata sasa... Whats going on...
 
Jamani kuna akili za kujiongeza pia. Sasa unaanzaje kumwambia mtu yanayomuhusu mumewe???
Makosa n kuto kujitambua kwa wakat
Uliopo ukijitambua tu na akili
Ya kujiongeza mtu unakua nayo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…