Anaewaelewa wanawake anisaidie

Anaewaelewa wanawake anisaidie

Koh MaHo kamoyo kangu kuna mtu nimemkabidhi nikakachukue atakaniumizia eeeh.!
No Wee mkabidhi tu moyo wako
Ila don't forget to carry your brain with you
Napia mwanamke usimwambie siri zako kiviile
Chuja za kumwambia
 
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji1] [emoji2]
Aiseeee!! Hayo maisha n hatar
Ila wanawake mnayaweza


Kuna nchi ndo wana hayo
Maisha yan unaweza kuamka
Asubuh ukapishana na landlord


,neyba wako au hata yule wa opposite
Na ww lakin mtapishana kama
Umepisha na mti ukisalimia wala hata
Hana habar na,salam yako

Nouma sana hii
Hapa kila mtu nazakeee
Sijui nani atamuanza mwenzie hapa labda itokee emergency ambapo automatic tutajikuta tunaongea
Binafsi roho inaniuma sana nikiwaza kwanini amweleze huyo mama habari za mume wake??!! Alitarajia nini???
 
Usimlaumu yeye jilaumu wewe ulieshindwa kukaa kimya, hahah, kitu kikishakuwa siri, unatakiwa ujue peke yako, kama na wewe uliambiwa hiyo si siri tena. Kwa hiyo ukiona unamwambia rafikiyo siri ujue umeshindwa kuitunza unamtafuta wa kukusaidia kuitunza, na yeye kashindwa kuitunza kaipeleka ikatunzwe na wahusika.😀😀😀😀😀😀😀😀😀
pole mno.
Wee hujui tu yani
Huyo baba kuna vitu ananiambia mara kwa mara . Sasa nilimwambia tu ili ajue isije siku akaona mi nimekaa sehemu yangu nipo nayangu huyo baba akajipitisha pitisha akahisi mengine
Nilimwambia makusudi ili akiona athibitishe mwenyewe
 
Hapa kila mtu nazakeee
Sijui nani atamuanza mwenzie hapa labda itokee emergency ambapo automatic tutajikuta tunaongea
Binafsi roho inaniuma sana nikiwaza kwanini amweleze huyo mama habari za mume wake??!! Alitarajia nini???
Hao n wale watu hawawez
Kukaa,na ktu alichoambiwa
Maana anaona atakufa kama
Hajakipeleka kwa mwemyewe

Kuna,wanawake wafkiriaga nusu
Nusu yan wengne had quarter quarter
 
umepata cha kujifunza usimwamini mtu haswa marafiki hawa
Kweli kabisa. Nimekoma mwenzenu. mwanaume mwenyewe mkurya mkewe anasema anakaa na panga na fimbo ndani mwee! si alitaka kuniletea matatizo usiku usiku huu huyu jamani!!
 
Jamani naongea haya kwa masikitiko na huzuni kubwa sana hapa. Sina pozi kabisa mwenzenu natafakari bila kupata majibu juu ya sisi wanawake
Kuna sehemu unaeza kuta wanaume wawili watatu wamekaa wao kwa wao wakiongea yao yakiume sijui ya mademu sijui michepuko sijui yule anaringa mara hana lolote nanyinginezo.
Vivohivo kwa wanawake . Wanapokaa wanawake wawili watatu unategemea wataongea story gani kwa mfano???

Hivi unapoambiwa kitu juu ya mtu/ watu fulani ukikaa nacho unawashwa??? Huyooo patupatupatu unapokipeleka moja kwa moja kwa muhusika / ndugu au jamaa yake wa karibu sana unatarajia nini?!!
Hapa kwetu nusura pageuke Uwanja wa kungfu Leo mimi nilijihami nikajifungia zangu ndani tu baada ya kuona hali ya hewa imeharibika make hata kupigana siwezi.
Najuuuuuuuuuuuta kwakweli. Kuanzia sasa nikiwa sina ishu nibora nije kukesha jf kwenye siasa tu sitakosa la kuongea juu ya Bashite stori ya mujini. kuliko kukaa na Ndumila kuwili.
Nimekoma yani kiranga komooo hapa.
POLE SANA MAMY...AU UKIONA HUMU PAGUMU UNIITE TUSHINDE WOTE...SEHEMU TULIVU
 
Asante ndugu
Bora hata wangechafua hio cv
Ni hapahapa tunapoishi. kuzungukana tu.
Unajua kuna vitu vingine unatakiwa kujiongeza
Sawa wanawake tuna maneno, wanawake tunaongea ila unaangalia mazingira / wahusika
kuna watu huwa hawajitambui
Yan wanakua tu kimwili lakin
Akili n zro p1 na,wanawake
Kutokupendana kwenu na kuchukiana
Plus maneno maneno

Lakin mtu akjitambua walau
Atafkiria cha kuomgaea/kufanya
Kabla hajatenda anachotaka
Kufanya
 
Kweli kabisa. Nimekoma mwenzenu. mwanaume mwenyewe mkurya mkewe anasema anakaa na panga na fimbo ndani mwee! si alitaka kuniletea matatizo usiku usiku huu huyu jamani!!
hahaah pole shost
 
Siyo kila anayekuchekea moyoni anakupenda... Kheri uishi maisha yako uonekane mjinga kuliko kuwa associate na watu wanafaiki... Wengine hawana roho...
Kweli kabisa
Huyo mama jamani anajishtukia tu anajihamii mi walaa nishampuuza sitaki hata kumuona
 
kuna watu huwa hawajitambui
Yan wanakua tu kimwili lakin
Akili n zro p1 na,wanawake
Kutokupendana kwenu na kuchukiana
Plus maneno maneno

Lakin mtu akjitambua walau
Atafkiria cha kuomgaea/kufanya
Kabla hajatenda anachotaka
Kufanya
Jamani kuna akili za kujiongeza pia. Sasa unaanzaje kumwambia mtu yanayomuhusu mumewe???
 
Kweli kabisa
Huyo mama jamani anajishtukia tu anajihamii mi walaa nishampuuza sitaki hata kumuona
Kwa sababu ni mtu wake kujishtukia lazima... Hata wewe my dear unapohisi mtu wako ana dalili za kunyemelea/kunyemelewa na mtu mwingine kama una mpenda kweli u will react...


Mfano hao unao hata sasa... Whats going on...
 
Jamani kuna akili za kujiongeza pia. Sasa unaanzaje kumwambia mtu yanayomuhusu mumewe???
Makosa n kuto kujitambua kwa wakat
Uliopo ukijitambua tu na akili
Ya kujiongeza mtu unakua nayo
 
Back
Top Bottom