Anaewaelewa wanawake anisaidie

Anaewaelewa wanawake anisaidie

Wanawake mmeumbwa hivyo tu... Umbea wa kupeleka maneno huku na huko... Unatakiwa uwe makini sana with whom you are telling your things...

Or else kila mara utaonekana vinginevyo... Mimi nakulewea sana Super dear...

Pole sana...
Asante
 
Jamani naongea haya kwa masikitiko na huzuni kubwa sana hapa. Sina pozi kabisa mwenzenu natafakari bila kupata majibu juu ya sisi wanawake
Kuna sehemu unaeza kuta wanaume wawili watatu wamekaa wao kwa wao wakiongea yao yakiume sijui ya mademu sijui michepuko sijui yule anaringa mara hana lolote nanyinginezo.
Vivohivo kwa wanawake . Wanapokaa wanawake wawili watatu unategemea wataongea story gani kwa mfano???

Hivi unapoambiwa kitu juu ya mtu/ watu fulani ukikaa nacho unawashwa??? Huyooo patupatupatu unapokipeleka moja kwa moja kwa muhusika / ndugu au jamaa yake wa karibu sana unatarajia nini?!!
Hapa kwetu nusura pageuke Uwanja wa kungfu Leo mimi nilijihami nikajifungia zangu ndani tu baada ya kuona hali ya hewa imeharibika make hata kupigana siwezi.
Najuuuuuuuuuuuta kwakweli. Kuanzia sasa nikiwa sina ishu nibora nije kukesha jf kwenye siasa tu sitakosa la kuongea juu ya Bashite stori ya mujini. kuliko kukaa na Ndumila kuwili.
Nimekoma yani kiranga komooo hapa.
Mi nawaelewa hawa wadudu saaana ukitaka kuenjoy usimwamin kbs mwanamke ni kama mwana siasa ni waongo waongo sana hivyo basi hata kama unampenda vip ondoa iman fanya unaish peke yako maana hawana msaada kbs yaaaaani ovyo kbs ukishafanikiwa kwenye suala hili utajua upande wao wa pili ni wakatili saaana wao wenyewe hawapendan atakupendaje wewe mwenye mkia mbele.......
Ndugu yangu sijui nani jina mwanamke hata akulilie vip usimwamini machozi yao ni kama machoz ya mamba analilia akuue
Baada ya kusema haya narudia hata umpende vip usimwamin na usimfuatilie hasa simu yake usiguse achana nayo ni wasalitiiiiiiiiii tangu enzi za adamu
 
Maisha ya wanawake siku zote hutawaliwa na wivu wa kijinga.
Siku zote apate yeye tu na kumuona mwenzake yuko chini, mwanamke akiwa na uwezo then akimuona mwenzake yuko chini hufurahi sana na moyoni mwake huwa anapenda kumuona mwenzake azidi kudidimia.
Sisi wanaume mtu akiwa na uwezo then akimuona mwenzake yuko chini huwa tunainuana japo kidogo
 
Point....
Sasa huyu alichofanya ni kutugombanisha tu
Nahisi atakua anarurahi kuona ndoa ya watu inasuasua make mke mtu kachachamaa anataka kuondoka kwao
 
Mi nawaelewa hawa wadudu saaana ukitaka kuenjoy usimwamin kbs mwanamke ni kama mwana siasa ni waongo waongo sana hivyo basi hata kama unampenda vip ondoa iman fanya unaish peke yako maana hawana msaada kbs yaaaaani ovyo kbs ukishafanikiwa kwenye suala hili utajua upande wao wa pili ni wakatili saaana wao wenyewe hawapendan atakupendaje wewe mwenye mkia mbele.......
Ndugu yangu sijui nani jina mwanamke hata akulilie vip usimwamini machozi yao ni kama machoz ya mamba analilia akuue
Baada ya kusema haya narudia hata umpende vip usimwamin na usimfuatilie hasa simu yake usiguse achana nayo ni wasalitiiiiiiiiii tangu enzi za adamu

Duh kweli kabisa hapo kwenye kumuamini hapo pana utata sana
Kwahiyo hii ni hereditary character ya wanawake sio??
Eva ndo Aliturisisha!!!!!!!
Dahhhhhhhhhhh imekaa vibaya sana hii
 
Bora yenu nyie mimi rafiki yng nilimuamini alikuwa zaidi ya rafiki nikawa nampaga story za shm wake kipindi hicho lkn.. Heee kumbe alikuwa anammezea mate Siku ya Siku nashika simu yke nakuta namb ya bbe wanachat anamuomba hela nilichofanya wala hata sikumuuliza nilimpandia beb hewani nikamwambia aendelee nae mwanaume ndy anasema ooh si hvy yeye ndiye alieanza kunitongoza ananiomba hela.. Nikamwambia tuishie hapa na urafiki ukakomea pale hadi leo sina rafiki wa kike wakumpa siri zang
 
Wanasema akil zenu mnazjua wnyewe

Sent using Jamii Forums mobile app from my Android phone
 
Back
Top Bottom