Anaeyajua aya madini afafanue kuhusu umuhimu wake na yanaitwaje.

Anaeyajua aya madini afafanue kuhusu umuhimu wake na yanaitwaje.

yuswise

Member
Joined
Oct 31, 2018
Posts
18
Reaction score
8
IMG_20181129_190052.jpeg
IMG_20181129_190058.jpeg
 
Kama hayo ni madini na ikithibitika humu ndani basi naenda kuwa tajiri very sooon
 
Kuna kamlima nakafahamu huko mbeya kana mzigo wa kutosha.......nilivo mchoyo naenda mwenyewe na spedi.........wenyeji nawadanganya nawaambia nachukua udongo wa kuchapia nyumba.........wanakuja kustuka mlima wote upo flat
Me mwenyewe huku yapo yakutosha2
 
Hayo ni mawe ya dhahabu kwa watu wambeya wilaya moja inaitwa chunya watakua wamenisoma vizuri
 
Hayo majini yanaitwa " SUBIAN" ni majini mabaya sana yakikuingia lazima mipango yako yote ya fedha na ya kimaisha ivurugike
 
Mkuu nieleze vizuri ikibidi nieleze namna ya kufanya nijipatie mihela
Hayo mawe yanasagwa yanakua unga kwenye mashine moja maarufu inajulikana kama karasha

Baada ya hapo unga wake unaoshwa kwenye kifaa maalumu then inachukuliwa mercury unachanganya na huo unga pamoja na maji alafu unakamatisha dhahabu
 
Back
Top Bottom