Anaeyajua aya madini afafanue kuhusu umuhimu wake na yanaitwaje.

Hayo mawe yanasagwa yanakua unga kwenye mashine moja maarufu inajulikana kama karasha

Baada ya hapo unga wake unaoshwa kwenye kifaa maalumu then inachukuliwa mercury unachanganya na huo unga pamoja na maji alafu unakamatisha dhahabu
Kumbe ni dili mkuu..asa 2nafanyaje mkuu
 
Nakushaur uchukue sample hio upeleke maabara halafu wakupimie madini yafuatayo:-
(a) Gold- Au
(b) Copper- Cu
(c) Iron - Fe
(d) Surphur - S

Ukiona Kati ya madini tajwa hapo juu imeonesha ppm/percentage nyingi zaidi ya nyingine utakuwa umefaham ndani Kuna nini! But kwa Gold ikisoma kuanzia 6g/t au ppm na kuendelea hio utakuwa umeula mwanawanee [emoji3], au Copper ikiwa na kuanzia 20% nayo itakuwa vizuri Sana ! LAKINI Fe ikiwa asilimia nyingi mfano 70% not commercial, uendelee kufanya utafiti zaidi!

All the best mkuu!
 
Apo sawa mkuu asnte san. Nitafanyaivo
 
Back
Top Bottom