Hahaaaa....nimeyakuta somewhere kijijin sasa naona kwa ndani yana ng'aa sana...nikakumbka kwamba sio kila king'aacho nidhahabu...nikaona vema niwashirikishe wana jamvi.Madini kama Nyama choma vile
Tena nyama ya nunduMadini kama Nyama choma vile
Pasua tuone ndani
Sawa mkuu wacha nipasue niwekePasua tuone ndani
[emoji23] [emoji23]Kama hayo ni madini na ikithibitika humu ndani basi naenda kuwa tajiri very sooon
Mawe yenye kutu tangu lini yakawa madini.....
[emoji23] [emoji23]
Me mwenyewe huku yapo yakutosha2Kuna kamlima nakafahamu huko mbeya kana mzigo wa kutosha.......nilivo mchoyo naenda mwenyewe na spedi.........wenyeji nawadanganya nawaambia nachukua udongo wa kuchapia nyumba.........wanakuja kustuka mlima wote upo flat
Mkuu nieleze vizuri ikibidi nieleze namna ya kufanya nijipatie mihelaHayo ni mawe ya dhahabu kwa watu wambeya wilaya moja inaitwa chunya watakua wamenisoma vizuri
Hayo mawe yanasagwa yanakua unga kwenye mashine moja maarufu inajulikana kama karashaMkuu nieleze vizuri ikibidi nieleze namna ya kufanya nijipatie mihela