Fine Wine
JF-Expert Member
- Jul 24, 2023
- 595
- 1,686
Anonymous member
Mpendwa wangu naomba nipelekee nipate ushauri, mimi ni mwanamke wa miaka 27 nipo kwenye mahusiano na mkaka, mahusiano yetu yana mwezi na wiki mbili, nilikuwa nampenda huyu kaka lakini kuna maajabu mengine hata kuyaelezea watu watashangaa na samahani kwa nitakaowakwaza maana lengo langu ni kuomba ushauri na siwezi kushauriwa bila kueleza tatizo lenyewe.
Mpenzi wangu ana tabia tukimaliza kufanya mapenzi, yani akiachia shahawa zake kwenye uke wangu anachukua kopo anakinga ziingie kwenye lile kopo kisha anachanganya na maji anakunywa. Sijui mmeelewa? Yani akishafika kileleni ananiminya uke au anaingiza kidore anazitoa huku amekinga kopo zikiingia kiasi anachanganya na maji anakunywa.
Ikitokea tumefika kileleni wote pamoja bado anafanya hivyohivyo au mimi nikifika kileleni kwa wakati wangu bado anafanya hivyo. Nimekuwa nikimhoji mara kadhaa anasema ni tiba ya moyo, nimeuliza kwa madaktari wanasema hawajawahi kusikia hicho kitu. naogopa sijui kwanini anafanya hivyo, nawaza labda ni masharti ya kuzimu au ni nini? Sielewi hapa nilipo nimepunguza mawasiliano nae, niseme tu nimeachana nae japo bado sijamtamkia ila namkwepa.
Hofu yangu ni hizo shahawa zangu alizomeza, amemeza shahawa na maji yangu yalikuwa yakitoka anakinga anachanganya na maji ya kawaida anakunywa, Siko sawa[emoji174].HAYA NI MAAJABU AISEE