Anahitaji hostel/chumba jirani na Shule ya Sheria Dar

Anahitaji hostel/chumba jirani na Shule ya Sheria Dar

cheguevara

JF-Expert Member
Joined
Apr 30, 2012
Posts
1,348
Reaction score
652
Habari wadau,
Nina mdogo anatarjia kuingia law school of tanzania disemba 2016 hivyo angependa kujua ni vipi atapata makazi jirani na shule na ni bei gani pia angependa kufahamu zaidi maisha ya shule hiyo,msaada wenu!!
 
Back
Top Bottom