Anahitaji mke

Anahitaji mke

Varbo

JF-Expert Member
Joined
Aug 14, 2012
Posts
1,121
Reaction score
885
Rafiki yangu anahitaji mke, anaishi Nairobi Kenya. Umri wake ni 40, mrefu, mweusi.

Vigezo
Umri 35-38, akiwa mwalimu itapendeza. Awe maji ya kunde, Mkristo na mtoto asizidi mmoja. Yeye ana mtoto mmoja, kazi yake ni Civil Engineer.
 
Rafiki yangu anahitaji mke anaishi Kenya! Nairobi! Umri wake ni 40. Tall black, Vigezo! Umri 35-38.
Akiwa mwalimu itapendeza! Awe maji ya kunde mkristo na mtoto asizidi mmoja! Yeye anamtoto mmoja!
Kazi yake ni civil engineer.
Yeye hajui kujieleza? Watu kama hao ndo wake zao wanaliwa kirahisi. Atafute mke mwenyewe. Au ni wewe mkuu?
 
Kwa nini unazunguka round about kujichosha? Si useme tu ni wewe ? Any way kila la kheri....!!
 
Anaishi kenya? Ni mtu wa kenya?? Kuna swali nataka kujua kuhusu future husband ila naogopa....ni mkenya kama mkenya yani?
 
Rafiki yangu anahitaji mke, anaishi Nairobi Kenya. Umri wake ni 40, mrefu, mweusi.

Vigezo
Umri 35-38, akiwa mwalimu itapendeza. Awe maji ya kunde, Mkristo na mtoto asizidi mmoja. Yeye ana mtoto mmoja, kazi yake ni Civil Engineer.
Yeye ni domo zege au???
 
Back
Top Bottom