Herbalist Dr MziziMkavu
JF-Expert Member
- Feb 3, 2009
- 42,872
- 34,363


Sofia James Mwiga (17, pichani) ni mkazi wa Manispaa ya Mkoa wa Tabora nchini Tanzania anaishi na ugonjwa wa kuvimba miguu kwa muda mrefu hali ilinamfanye awe mpweke huku akishindwa kuanza shule.
Kwa msaada zaidi wasiliana na baba yake mzazi kwa simu namba +255 0753 916690
KUTOWA NI MOYO JAMANI TUMSAIDIENI HUYO MWANA DADA ANATESEKA SANA.
MWENYEEZI MUNGU MPONYESHE HAYA MARADHI YAKE AMEEN.