Anahitaji msaada wako(picha zinatisha)

Anahitaji msaada wako(picha zinatisha)

JOYCE PAUL

JF-Expert Member
Joined
Jan 8, 2010
Posts
1,005
Reaction score
82
Mtoto kwenye picha anaitwa justine,alipata ajali mbaya ya moto ambayo ilimuunguza vibaya kama anavyoonekana na mkono mmoja ukapukutika kabisa.aliungua kiasi cha mifupa ya fuvu kichwani kuwa inaonekana.alipata ajali hiyo tarehe 16/5/2010 huko morogoro mpaka leo hii nimekwenda kumwona khali yake ndio hiko hivo.wazazi wake ni wakulima na mwenyeji wao ni mama mmoja mtumishi kanisani na ndiye walau anawatembelea mara moja moja,wanajamii forum nawaomba mkamwone na kumsaidia huyu mtoto.umri wake ni miaka kumi,anauguzwa na baba yake ambaye amekuja kumsaidia mkewe ambaye alikuwa amelazwa na justine siku zilizopita.kalazwa wodi ya watoto floor ya nne chumba namba moja,namba ya simu ya baba justine ni o716031159 mnaweza kutumia hata tigo pesa.ni mtoto pekee wa huyu baba wanasikitisha sana sana .picha zake ni hizi..

JUSTINE3.JPGJUSTINE 3.JPG

AJALI 2.jpgJUSTINE 3.JPG

JUSTINE3.JPGAJALI 3.jpg
hapa anuguza vidonda ambavyo wanatoa sehemu ya mwili wake ili waweze kumshone sehemu zilizoungua vibaya zaidi.
mimi Nimekwenda kwa kweli wanahitaji msaada wa khali na mali,mungu awabariki sana kununa dawa na hali ya muhimbiili unavyoijua bila pesa huduma hakuna.
 
Anatia huruma sana mtoto wa watu. Kwa huduma zetu hizi atasota hospital kwa muda mrefu. Nimeguswa sana, I wish ningekuwa na uwezo wa kugharimia hata plastic surgery yake.
 
Back
Top Bottom