Anahitajika afisa masoko haraka/ sales and marketing oficial

Anahitajika afisa masoko haraka/ sales and marketing oficial

massawe7

Member
Joined
Oct 28, 2011
Posts
10
Reaction score
1
Kampuni ya uzalishaji na usambazaji wa pembejeo za kilimo na vyakula vya mifugo; tunahitaji afisa masoko na mauzo kama unaweza na unaelimu hiyo weka mawasiliano yako hapa
 
Kampuni ya uzalishaji na usambazaji wa pembejeo za kilimo na vyakula vya mifugo; tunahitaji afisa masoko na mauzo kama unaweza na unaelimu hiyo weka mawasiliano yako hapa

massawe mawasliano hapa hadharani??? sema niku inbox

Kampuni gani hiyo?
 
Mkuu usifiche mambo weka E-mail yako hapa watu wamwagike kwa kutuma CV zao
 
kweli massawe unaharaka.ngoja tuku pm au toa e mail address hapa uone kaz
 
angalau umeeleweka sasa,ok ngoja 2tume mkuu
 
Masawee usije kwenda kuwafungisha tai na kuwabebesha madeli ya ice-cream wenzako! Haaaaaaaaaaaa
 
Back
Top Bottom