Anahitajika Binti wa kufanya kazi stationery,
SIFA:
Awe na uzoefu wa kufanya kazi stationery
Anajua kutumia computer
Mwaminifu
Awe na umri 20-25
Awe ni mkazi kati ya haya maeneo
Mbezi kimara, Kinyerezi Malamba Mawili na Segerea.
Mwenye SIFA hizo aje PM