Anahitajika dereva wa mkataba jijini Arusha

Anahitajika dereva wa mkataba jijini Arusha

Johnyyy

Member
Joined
Nov 19, 2021
Posts
8
Reaction score
2
Dereva mwenye uzoefu na mchapakazi anahitajika wa kupewa gari kwa mkataba awe na leseni class c na account za uber au bolt kwa mawasiliano zaidi piga 0783230603
 
Haya ajira hii hapa
Mimi ni dereva nina uzoefu mkubwa wa kutosha natafuta gari nifanyie kazi ya Uber/bolt .
Gari ndogo aina ya IST ,RACTIS,RAUM,PORTE
Hesabu au mkataba vyote sawa
Kwa yeyote Alie nayo
Napatikana Temeke
Mawasiliano : 0717285828
(Bado sijapata)
 
Ameshapatikana tayar
Dereva mwenye uzoefu na mchapakazi anahitajika wa kupewa gari kwa mkataba awe na leseni class c na account za uber au bolt kwa mawasiliano zaidi piga 0783230603
 
Back
Top Bottom