choupa moting
JF-Expert Member
- Dec 27, 2016
- 1,508
- 2,563
Bure aghali waswahili tunasema. Hizi nyumba zimeshaonekana wanaoweza kuzijenga ni wachache, kwa ivo ni muhimu ukitaka kuzijenga, tafuta fundi ambaye anao ujuzi wa kuzijenga. Kuna hili bandiko ni msaada sana kwa waliozijenga nyumba hizo.Ufundi wa contemporary upo kwenye foundation na roof.
Next time kama ni nyumba nzima usilazimishe kupata Fundi wa hapo ulipo, msafirishe Fundi hata kutoka Dar akufanyie kitu cha uhakika.
Broo....me nipo dar...kama utagharamia Ticket Ya kuja na kurudi Nakuja chap....Na nina ujuzi wa kutosha! Kaz zangu zipo humu....au njoo Call/wasap 0789005562Wakuu habarin za kazi.
Natafuta fundi mzuri wa hizi nyumba za contemporary aliyeko Mbeya mjini kwa ajili ya kufix sehem kwenye ofisi panavuja.
Ofisi imejengwa kwa aina hiyo hivyo kutokana na mvua zinazoendelea kunyesha imeanza kuvuja hivyo naomba tuwasiliane ili aje kufix.
Anichek 0621 164 143.
Uchafu au kabisaBroo....me nipo dar...kama utagharamia Ticket Ya kuja na kurudi Nakuja chap....Na nina ujuzi wa kutosha! Kaz zangu zipo humu....au njoo Call/wasap 0789005562View attachment 2573849View attachment 2573852View attachment 2573853
rahisi aghaliBroo....me nipo dar...kama utagharamia Ticket Ya kuja na kurudi Nakuja chap....Na nina ujuzi wa kutosha! Kaz zangu zipo humu....au njoo Call/wasap 0789005562View attachment 2573849View attachment 2573852View attachment 2573853
Broo....me nipo dar...kama utagharamia Ticket Ya kuja na kurudi Nakuja chap....Na nina ujuzi wa kutosha! Kaz zangu zipo humu....au njoo Call/wasap 0789005562View attachment 2573849View attachment 2573852View attachment 2573853