Anahitajika fundi mzuri wa contemporary Mbeya

Anahitajika fundi mzuri wa contemporary Mbeya

choupa moting

JF-Expert Member
Joined
Dec 27, 2016
Posts
1,508
Reaction score
2,563
Wakuu habarin za kazi.

Natafuta fundi mzuri wa hizi nyumba za contemporary aliyeko Mbeya mjini kwa ajili ya kufix sehem kwenye ofisi panavuja.

Ofisi imejengwa kwa aina hiyo hivyo kutokana na mvua zinazoendelea kunyesha imeanza kuvuja hivyo naomba tuwasiliane ili aje kufix.

Anichek 0621 164 143.
 
Ufundi wa contemporary upo kwenye foundation na roof.

Next time kama ni nyumba nzima usilazimishe kupata Fundi wa hapo ulipo, msafirishe Fundi hata kutoka Dar akufanyie kitu cha uhakika.
 
Ufundi wa contemporary upo kwenye foundation na roof.

Next time kama ni nyumba nzima usilazimishe kupata Fundi wa hapo ulipo, msafirishe Fundi hata kutoka Dar akufanyie kitu cha uhakika.
Bure aghali waswahili tunasema. Hizi nyumba zimeshaonekana wanaoweza kuzijenga ni wachache, kwa ivo ni muhimu ukitaka kuzijenga, tafuta fundi ambaye anao ujuzi wa kuzijenga. Kuna hili bandiko ni msaada sana kwa waliozijenga nyumba hizo.

Wakuu habarin za kazi.

Natafuta fundi mzuri wa hizi nyumba za contemporary aliyeko Mbeya mjini kwa ajili ya kufix sehem kwenye ofisi panavuja.

Ofisi imejengwa kwa aina hiyo hivyo kutokana na mvua zinazoendelea kunyesha imeanza kuvuja hivyo naomba tuwasiliane ili aje kufix.

Anichek 0621 164 143.
Broo....me nipo dar...kama utagharamia Ticket Ya kuja na kurudi Nakuja chap....Na nina ujuzi wa kutosha! Kaz zangu zipo humu....au njoo Call/wasap 0789005562
IMG_20221127_101249_8.jpg
IMG_20221129_092622_5.jpg
IMG_20221130_104509_7.jpg
 
Tuliwaonya sana hapa hapa jf kuhusu hizi nyumba, tulisema ni nzuri ila bado mafundi wengi wa huku hawawezi kuzijenga!!

Ngoja Kuna namba nikutaftie ya fundi mmoja ni bingwa wa hayo mambo, nikiipata ntaweka hapa kwa faida ya wengi
 
Back
Top Bottom