Mimi nilikuwa nachangia pointi inayohusu hormonal imbalance,kama imesababisha mishipa kuziba lazima madaktari wahusike.Tuseme MTU ana tatizo la mirija kuziba
Akifix hormone anaazaaje happy
Matatizo ya uzazi yanatofautiana sio kila kitu hormones
Tuseme MTU ana tatizo la mirija kuziba
Akifix hormone anaazaaje happy
Matatizo ya uzazi yanatofautiana sio kila kitu hormones
Hormonal imbalanceAna shida gani
Based on my own experience naweza kukusaidia
Akamuone daktariHormonal imbalance
Kwanza aache kabisa soda, na energy na machips kukuKipindi cha nyuma amewahi kwenda hospitali na kuelezwa kuwa na hiyo hali baada ya siku zake za hedhi kuvurugika , lakini hilo tatizo halijawahi kufuatiliwa kwa undani kwa maana ya kuonana na wataalamu husika pamoja na vipimo
Yaaani na pepsi ya kushushia ahaaaWadada mnavyooenda kiepe yai na mayonaiz niwekee hormones hazitokaa sawa daima
Mie namjua mama mmoja wa Kimasai alitibu wamama wawili walioshindikana Hospitalini...walikuwa na shida ya kushika mimna..hatimae wakashika mimba na kuzaaUhitaji wa Gynaecologist mzuri anayeweza kumsaidia mtu mwenye changamoto ya hormonal imbalance, kuanzia kwenye kumsikiliza vizuri mgonjwa na kujua shida yake haswa, vipimo mpaka kutafsiri majibu na kutoa matibabu sahihi.
Habari ya asubuhi wadau.
Tafadhali nahitaji msaada wa kufahamu wapi ninapoweza kupata Daktari bingwa mzuri wa magonjwa ya wanawake (Gynaecologists) , either ana hospitali binafsi , Polyclinic au anahudumu katika hospitali binafsi au serikali. Nikipata Jina au hata mawasiliano yake nitashukuru sana.
Natanguliza shukrani
UPDATE.
Habari wadau, nashukuru kwa maoni na michango yenu, hatimaye kisa changu kimepata suluhu, baada ya kupima mimba kwa Rapid test imeonekana matokeo kuwa POSITIVE. Japo ataenda hospitali kuthibitisha rasmi.
View attachment 3649992
Sawa mkuu, hii ina tofauti gani na hizo nyingine?View attachment 3650000
Tumia upt rapid test
Accuracy ipo juu sanaa' hofu Yako ni mimba kuharibika... Au ni nini??Sawa mkuu, hii ina tofauti gani na hizo nyingine?
Hii sio rapid TESTUPDATE.
Habari wadau, nashukuru kwa maoni na michango yenu, hatimaye kisa changu kimepata suluhu, baada ya kupima mimba kwa Rapid test imeonekana matokeo kuwa POSITIVE. Japo ataenda hospitali kuthibitisha rasmi.
View attachment 3649993
Hapana siyo hofu. Bali kufanya confirmatory test hospitalini, kwa kutumia damu au Ultra soundAccuracy ipo juu sanaa' hofu Yako ni mimba kuharibika... Au ni nini??
Tumia ile rapid test sawaHapana siyo hofu. Bali kufanya confirmatory test hospitalini, kwa kutumia damu au Ultra sound
Wooh Mungu mkubwa .hongera sanaUPDATE.
Habari wadau, nashukuru kwa maoni na michango yenu, hatimaye kisa changu kimepata suluhu, baada ya kupima mimba kwa Rapid test imeonekana matokeo kuwa POSITIVE. Japo ataenda hospitali kuthibitisha rasmi.
View attachment 3649993
Asante mkuu, Mungu ni mwema sana. Tiyari alishaanza kutumiaWooh Mungu mkubwa .hongera sana
Aanze folic now now