Anahitajika kijana wa kusambaza ice cream

Anahitajika kijana wa kusambaza ice cream

DIRIMULAINA

JF-Expert Member
Joined
Jul 12, 2018
Posts
921
Reaction score
1,720
Kichwa cha habari chajieleza,

Anahitajika kijana mdogo na mchapakazi mwenye umri kuanzia 18-20 atakayefundishika kutengeneza bidhaa
tajwa hapo juu, kisha kuzichukua na kuzipeleka eneo la mauzo. ipo mashine ya kutengenezea.
Umri huu wengi hawatumii jf, lkn lengo ni kama wewe mwanajf una kijana anaekaa tu bila majukumu mlete apambanie ugali wake. Mahali ni Dodoma

Malipo maelewano. NB; Walioko shuleni hawahusiki. NJOO PM
 
Mkubwa mimi nipatie hiyo mashine kwa mkataba maalumu niwe nakuletee hesabu kila baada ya siku tano.
Nina wadogo zangu wako mkoani waje niwapigishe kwata.
 
Mkubwa mimi nipatie hiyo mashine kwa mkataba maalumu niwe nakuletee hesabu kila baada ya siku tano.
Nina wadogo zangu wako mkoani waje niwapigishe kwata.
Dogo upo?
 
Back
Top Bottom