Anahitajika mfanyakazi wa kuuza butcher ya nyama

Anahitajika mfanyakazi wa kuuza butcher ya nyama

Mabala21

Senior Member
Joined
Jul 24, 2021
Posts
139
Reaction score
89
Anahitajika kijana mwenye uzoefu wa kuuza Butcher ya nyama ya ngombe/ Mbuzi na Samaki. Awe na uzoefu wa mashine ya kukatia nyama na uzoefu wa biashara hii.

Butcher iko Bunju, ni PM kwa mazungumzo zaidi
 
Back
Top Bottom