M Mabala21 Senior Member Joined Jul 24, 2021 Posts 139 Reaction score 89 Sep 15, 2021 #1 Anahitajika kijana mwenye uzoefu wa kuuza Butcher ya nyama ya ngombe/ Mbuzi na Samaki. Awe na uzoefu wa mashine ya kukatia nyama na uzoefu wa biashara hii. Butcher iko Bunju, ni PM kwa mazungumzo zaidi
Anahitajika kijana mwenye uzoefu wa kuuza Butcher ya nyama ya ngombe/ Mbuzi na Samaki. Awe na uzoefu wa mashine ya kukatia nyama na uzoefu wa biashara hii. Butcher iko Bunju, ni PM kwa mazungumzo zaidi
gkasambo Member Joined Apr 12, 2017 Posts 64 Reaction score 70 Sep 15, 2021 #2 Je, ambaye yupo tayari kufanya kazi lkn hana uzoefu?
MR LINKO JF-Expert Member Joined Aug 20, 2016 Posts 3,034 Reaction score 3,526 Jan 8, 2022 #3 Kama hana uzoefu inakuwaje
M mwarughali New Member Joined Apr 7, 2019 Posts 1 Reaction score 1 Jan 10, 2022 #4 Naomba tuwasiliane nahitaji kazi hio namba yangu ni 0789788829
Imphuvyi JF-Expert Member Joined Aug 6, 2018 Posts 224 Reaction score 154 Jan 10, 2022 #5 Tangu mwaka jana mpka leo Hujampata tu boss? Sent from my TECNO CC6 using JamiiForums mobile app