ANAHITAJIKA MKALIMANI WA KISWAHIL/KINGEREZA KATIKA MKUTANO UTAKAOFANYIKA UK (LONDON) JUMATATU 15.07.2013 .KAMA UPO UK AU UNA MTU UK ANAYEWEZA KUFANYAKAZI HIYO .TUWASILIANE 0755912212 au taleitz@gmail.com .
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mimi ni Mkarimani naitwa Hamisi...
STUMBLE: Hello!
HAMISI: Hero!
STUMBLE: Everything comes from above.!!
HAMISI: Vitu vyote huja juu juu,
STUMBLE: When we look today,
HAMISI: Ni lini Tutaangalia leo.
STUMBLE: We notice Everywhere,
HAMISI: Twabandika Ilani kila pahali.
STUMBLE: It is apparent that,
HAMISI: Hata huyo ni mzazi tu.
STUMBLE: Things have changed
HAMISI: Vitu vimegeuzwa geuzwa.
STUMBLE: The teens of today,
HAMISI: Mikebe ya leo,
STUMBLE: Have stopped putting on ! Bell-Bottoms,
HAMISI: Imesimama,na kuweka juu makengele chini,
STUMBLE: So you see my brothers and sisters,
HAMISI: Basi ndugu zangu waangalieni akina dada,
STUMBLE: know perfectly well,
HAMISI: Na muwajue vizuri sana ,
STUMBLE: That all world affairs,
HAMISI: Kwamba mapenzi yote duniani,
STUMBLE: Are successfull only if held from above,
HAMISI: Hufanikiwa tu ikiwa mmeshikana juu juu.
STUMBLE: Remember, faith is your pillar,
HAMISI: Kumbuka kuuamini mlingoti wako,
STUMBLE: Keep it first and above,
HAMISI: Uuweke kwanza na juu,
STUMBLE: Let it run very deep and strong,
HAMISI: Ndo kisha uukimbize ndani kabisa tena kwa nguvu,
STUMBLE: Should anybody want to test you,
HAMISI: Mtu yeyote akitaka kukuonja,
STUMBLE: Will feel its work,
HAMISI: Ataisikia kazi yake,
STUMBLE: Then from deep inside you'll feel peace pouring out,
HAMISI: Ndo kisha baadaye utasikia kutoka ndani sehemu moja ikimwagika nje,
STUMBLE: That peace will flow and enter even those you are with,
HAMISI: Sehemu hiyo ita tiririka ,na itatafuta sehemu sahihi
STUMBLE: and that peace will remain.
HAMISI: na sehemu hiyo itabakia.
STUMBLE: Amen.
HAMISI: Huyo ni mwanamme!