Chibidu
JF-Expert Member
- Dec 19, 2008
- 387
- 50
Natarajia kufungua kitegauchumi maeneo ya Mbezi Louis. Kitegauchumi hicho kitakuwa kinahusika na kuuza stationeries, photocoping, typing (Business Plans, projects, etc.), cards designing, kuuza electronic vouchers na kadhalika. Hivyo natafuta msichana mwaminifu na mchapakazi aliyesomea secretarial course na hasa anayejua kutumia computer vizuri ili kufanya kazi nilizotaja hapo juu. Kama uko tayari ama una ndugu yako, nitumie PM ili niweze kukupa maelezo zaidi. Ni vizuri mtu huyo awe anaishi maeneo ya Mbezi Louis au maeneo ya karibu na huko. Hii ni taarifa/Tangazo, sio mahali pa majadiliano. Ukinitumia PM tutajadiliana vizuri. Karibu